Angalia jinsi waandishi wa habari wanavyojitolea ili kukuletea wewe msomaji habari za matukio ya mapigano nchini Libya.
Mwingine nae huyoo anajaribu kukimbilia sehemu nzuri ili apate picha za kuwaletea wasomaji.kazi hii inahitaji moyo wa ujasiri hasaa.