Matokeo ya jana kwenye ligi ya Uefa ni kama hapo chini yanavyojieleza,pichani wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi uliowapeleka robo fainal.picha chini Mchezaji wa Chelsea John Terry akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya Kobenhavn ila ao walitoka sare ya bila kufungana.
Chelsea Chelsea 0 - 0København København
Aggregate: 2-0
Real Madrid Real Madrid 3 - 0Lyon Lyon
Aggregate: 4-1