Magoli mawili yaliyofungwa na Messi mchezaji machachari wa timu ya Barcelona dhidi ya Arsenal yameiwezesha timu ya Barcelona kufikia hatua ya robo fainali katika mashindano hayo.Mpira ulikuwa mkali na wakuvutia ila mpaka mwisho wa mchezo Fc Barcelona 3 - 1 Arsenal.