Brussels airport imekuwa moja ya airport makini zaidi katika ukaguzi wa abiria wanaoingia na kutoka nchini.Umeanzishwa mfumo mpya kabisaa ambao unatumika endapo watakuhisi wanakukagua mpaka mwilini.pichani ni msongamano wa abiria wanaotaka kusafiri kuelekea nchi mbalimbali duniani wakiwa katika foleni kusubiri mfumo mpya unaochelewesha watu airport hapo.