Pichani ni Madereva wa vyombo vya mabasi ya usafirishaji na tram nchini Belgium wakiandamana kuweka mgomo baridi juu ya taratibu la kuomba kuongezea mishahara yao.Maandamano hayo yaliyofanywa karibu na madereva wote,yalianza mji mkuu wa Belgium Brussel mpaka kitongoji kimoja kidogo kijulikancho kama Turnhout.Hata hivyo mgomo huo uliwahusisha madereva wa mabasi na tram na haukuwahusu kabisa madereva wa treni.Mgomo ulikuwa wa kawaida na hakuna aliyejuruhiwa.