Ukiangalia mazingira yanayoitwa ya kiswahili au uswahilini utakubali kuwa aaah hapa nipo uswahilini kwelikweli.Hii ni mitaa ya kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam.