Bidada mwenye umri wa miaka 37,Anajulikana kwa jina la Tyra Banks ni mdada mwenye mafanikio makubwa katika ulimwengu wa leo.Ni model mstaafu na kwa sasa ana Tv program show na amefungua website yenye kufundisha mambo ya style ukiachilia hayo ni mfanyabiashara mkubwa asiyejibweteka na utajiri wake.Kwa umri wake na utajiri wake kwa kweli anastahili pongezi za dhati.