Waasi wamekanusha madai kuwa wafuasi wa Gaddafi wameudhiti mji wa Ajdabiya.Wakati jeshi linaposogea karibu na mji huo na kutekeleza mashambulio, baraza la usalama la umoja wa mataifa linazungumuzia swala la ndege kutopita katika anga ya Libya.
Viongozi wa waasi wanataka jumuiya ya kimataifa kumzuia Gaddafi na jeshi lake kutumia ndege kuwashambulia.