Hello Wapenzi na Wasomaji wa Maganga One Blog,lile shindano letu la kumtafuta msomaji wetu wa aliyegonga Link na kuwa mtu wa 5000 katika Blog hii amepatikana jana mchana.Kwa jina anaitwa KHALID ALI KHALID wa Dar es Salaam Tanzania,tunafanya taratibu za kumtumia Tv sets yake.tunafanya mawasiliano kwa njia zote(simu & mail) na ndugu Khalid.Hongera ndugu Khalid kwa kuwa msomaji wa 5000.
                         Maganga One.