Hili ni jengo la Polisi Msimbazi kwa nyuma,Ukimuangalia huyu mpita njia kabana pua kwa jinsi hali ya hayo maji machafu yanavyonuka.Sehemu kama hii sio vizuri kuwa hivyo.