Kwa upande wao wanatengeneza Toys ambazo hazidumu kwa muda mrefu,na kwa upande wetu sisi angalia Toys zetu nduguu utasema tunatumia mashine kutengeneza kumbe mikono tu.
Utachoka ukija hapa sasa,yani kama unataka Nike,Adidas hata Puma yani ni full Everthing chaguo lako tu.Guarantee kwamba hakuna cha msumari au mwiba utakaokuchoma,mvua jua mwendo mdundo baba.