Moja ya sifa za mwanamke ni kujipamba na kuvutia kwa mumewe,mwanamke akipambwa mumewe hufurahi sana na kuvutiwa na mapambayo hayo,imekuwa ni fashion siku hizi kila mwanamke anapotaka kuolewa upambwa kwa michoro mizuri mwilini ili akamfurahishe mumewe.Pichani ni mikono ya ............ikiwa na mvuto mzuri siku ya harusi yake.