Nchini Belgium kuna lugha zaidi ya mbili zinazotambulika kiserikali,ila zinazotumika sana ni mbili yani Kifaransa na Kinedhalendi (Nederlands),kumekuwa na mgongano kati ya wananchi toka upande wa kifaransa kupinga kinedhalendi kisiongelewe kabisaa jijini Brussel(makao makuu ya nchi kinapoongelewa sana kifaransa)na kwamba wananchi wa kule wamewaomba wananchi wanaozungumza kinedhalendi wawafundishe sana wageni lugha hiyo ya Kinedhalendi.