Tujuavyo sisi kwa mara nyingi bibie huwa mbele na bwana huwa nyuma kulinda usalama wa mkewe,tofauti na nchi nyingine angalia picha kisha jibu utalipata mwenyewe.
 Kama kweli haki waliyoitaka wanawake kule Beijing China miaka ya nyuma kuwa haki sawa kwa wote,basi wanaume watanufaika kwa namna moja au nyingine.Pichani mwanaume akisonga bila wasiwasi huku bi mkubwa akiwa hoi na kreti yake.
Hapo je?Wanawake kazi kwenu kwa kudai haki sawa sasa mtakoma na kuiona dunia chungu,kwani itafika kipindi na wanaume hawatakwenda kazini iwe zamu yenu kutafuta pesa.