Raisi Kikwete akipata maelekezo mafupi jinsi ya kutumia ndege ya kivita alipotembelea kambi mojawapo ya kijeshi  nchini.Maandishi hayo kwenye miduara hayahusiani na ukweli wowote (ni ucheshi tu waungwana).