Walionusulika na Tsunami nchini Japan wakipata riziki kwa jinsi kama ujioneavyo pichani.Hali ya maisha ya watu wengi nchi humo imekuwa ni ya utata kwa kiasi kikubwa.
 Yani jamaa hajui aanzie wapi na kuishia wapi..!!! hali ni ngumu, ngumu sana,maana hata mimi namsikitikia sana.
 Pamoja na uzito wa treni mafuriko yaliyotoke hapo Japani treni zilikuwa kama karatasi,huwezi kuamini umbali ambao treni hizo zilipochukuliwa.
Baada ya kuona kwa macho yake jinsi familia yake ilivyomezwa na ardhi mzee huyu alishindwa kabisaa kujizuia kulia,kwa kweli hali ya Japani ni ya kusikitisha sana.