Maandamano ambayo Polisi waliita si halili katika mji wa Cassablanca nchini Morocco,yalizuiliwa ghafla na polisi baada ya kuanza kuwapiga kwa kutumia virungu na mabomu ya machozi.wananchi hao ambao waligoma kusitisha mikutano yao nchini humo kwa kudai wanafanya hivyo kupingana na siasa ya nchi yao.Malfu kwa maelfu walijeruhiwa vibaya baada ya mkongo'to huo.akieleza kwa masikitiko makubwa mmoja wa wanaharakati wa vyama vya upinzani bwana Ghizlaine Benameur alisema "Haya yalikuwa Maandamano ya Amani ila hatujui kwanini Polisi waliyakatiza na kuanza kupiga watu kama hivii".Pichani ni baadhi ya majeruhi wakisaidiwa kupatiwa msaada wa huduma ya kwanza.