Zaidi ya raia 700waliokuwa wakiiishi nchini Japan wamerejea nchini wakiwa salama na afya zao ni nzuri kabisa.Kwa mujibu wa shirika la usalama la mambo ya Nyuklia limesema raia wake wote wapo salama na hakuna aliyedhulika na mlipuko ule.Pichani ni Air bus ikitua Brussels kurejesha raia hao.