Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akipewa maelezo kutoka kwa Meneja wa Kituo cha huduma za Forodha cha Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Victor Msuya wakati Rais alipofanya ziara kwenye kituo hicho mjini Dar es Salaam. Kulia kwa Rais ni Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na Kamishna wa Forodha na Ushuru, Walid Juma.