Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea albamu ya mfumo wa noti mpya kutoka kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu alipofika na ujumbe wake Ikulu mjini Zanzibar.