Yani katika watu warefu duniani basi ukikosa kuweka jina la Hasheem Thabeet unakuwa umekosa kumtendea haki,pichani ni raisi wetu Jakaya Kikwete kushoto akiwa na Hasheem Thabeet mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani katika lig kubwa na ngumu ya NBA.Kumbukeni Hasheem Thabeet ni mtanzania anayetangaza jina letu hukoo Marekani.