Ni bora uukanyage kwa miguu na kuipaki gari yako nyumbani,maana kama unaishi Pansiasi na unafanya kazi mjini kazi unayo,bei ya petrol,bei ya Diesel zote zinafukuzana kwa ukali wa makali.Poleni sana wajameni,mwenzenu nina kibaiskeli kangu aaah,gharama pancha tu,na pacha mara moja kwa mwaka.Super Tall babake Sharoon unalo?