Wakimbizi wa kisiasa waliojazana nchini Italy na wanaoendelea kuingia nchini humo kwa njia tofautotofauti imekuwa ni mzigo ambao hatuliki kwa serikali ya Italy hivi sasa.pichani kama ujioneavyo akishuka katika vyombo vya baharini tayari kuomba ukimbizi nchini humo.
Kila baada ya masaa machache yanaingia makundi kwa makundi,hali hii imejitokeza baada ya vurugu zilizotokea miezi michache nchi Tunisia na kufanya wananchi kuikimbia nchi bila kupenda kwa kuhofia maisha yao.