Uoga ni mwiko kwao,Ulala sehemu ambazo wewe hutegemei kabisaa,ebu angali jinsi alivyolala huwezi kabisaa kuamini na kingine kwamba haogopi kwamba uenda Pilot wa ndege akawasha injini na kumaliza maisha yake.Huyo ndiye mwanajeshi jamani.