Habari zenu wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog,Napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuwa kesho tarehe 12/03/2011 baada ya salat adhuhur(saa saba mchana) Nyumbani Magomeni Mapipa Morocco Hotel kutakuwa na kisomo cha Kumuombea marehemu mama yangu mzazi (Mama Maganga) aliyefariki mwezi uliopita.Kisomo kitafanyika katika awamu mbili tofauti,mchana baada ya salat Adhuhur kitakuwa kisomo pale nyumbani kwa upande wa wanaume,na baadae baada ya salat Al'asir kitaendelea kisomo kwa upande wa wanawake.Watu wote mnakaribishwa kwenye dua hiyo muhimu.natanguliza shukrani za dhati kwa wote mtakaojaaliwa kufika.
      Kwa niaba ya Familia nzima, Maganga One. 

Maelekezo jinsi ya kufika na ratiba nzima kwa ujumla piga simu no_ 0715 75 23 93 Maganga One.
                       Ahsanten sana.