Klabu bingwa barani ulaya jana iliendelea vyema katika viwanja viwili tofauti,ambao timu ya Tootenham ilipoikaribisha timu ya Ac Milan toka Itali nchini Uingereza.Hata hivyo mpambano ulikuwa mkali ila bahati haikuwa ya kufungana,timu zote mbili zilitoka sare ya kufungana 1 -1 na kufanya wagawane points.