Kila mmoja alitakiwa kushiriki mashandano ya mitumbwi kwa staili ya kipekeee,jamaa huyu akaona acha atengeneze mtumbwi wake aina ya Boga,kama ujioneavyo hapo akipata maelekezo ya mwishomwisho kabla ya kuanza mashindano hayo.