Usije ukashangaa siku hizi mahotelli makubwa ukitaka kwenda kujisaidia ukakutana na vibweka kama hivi milangoni,cha msingi usiulize wee fungua tu mlango  unaendana na jinsi yako.walimwengu bwana!!!!
Hiki ndio choo cha kike,na ule wako ukutwe mwanaume hukooo utapambana na walinzi walioenda shule kwa ajili ya wanaume wanaojifanya hawajui kutambua A au B.