Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeezea hofu ya kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Ivory Coast, na kuamrisha walinda amani wake kutumia njia zote ili kuwalinda raia.