Kila mmoja wetu anaamini kuwa anavyoomba yeye ndivyo yupo sawasawa,kuna watu wakipiga magoti kwenye miti na kuomba uona maombi yao yanafanikiwa,kuna watu wakiliomba Jiwe maombi yao hufanikiwa,kuna watu uomba Mungu Msikitini na wengine Makanisani,Pichani ni mzee mwenye asili ya Kihindi aliomba kwa njia ya maji.