Maambukizo haya ya kifua kikuu unaweza kuyapata kwenye daladala,Shuleni,kazini,sokoni na hata kwenye sherehe pamoja na misiba,dalili zake unaweza kuzisoma hapo kwenye bango.Jitahidi kuilinda afya yako kwa kwenda mwenyewe kupima afya yako mara kwa mara.