Kitendo cha kutumia simu huku ukiwa na chombo cha moto barabarani ni hatari zaidi ya hatari.Ukiwa na pikipiki,Baiskeli au motokaa Uhurusiwi kabisaa kutumia simu yako ya kiganjani..Hata kama una kifaa cha kuweka masikioni sio vyema kutumia wakati ukiwa barabarani.