Kikao kinachoendelea hivi sasa kuijadili nchi ya Libya kwa wanachama wa Umoja wa Mataifa kimekubaliana kuwa hakuna kuruhusu ndege aina yoyote kukatiza katika anga ya Libya.na hii ni katika kile wanaita kunusuru hali ya hatari kwa kuwa nchi ya Libya hivi sasa hakuna usalama tena.pichani viongozi na wanachama wa umoja wa mataifa wakipiga kura ya pamoja kukubaliana na hoja hiyo.