Sio kama alipenda kulala hivi laahasha...huyu ni mkimbizi ambaye alikuwa hana pa kulala na nchi za watu hairuhusiwa kulala hovyo,ilibidi ajilaze kwa njia ambayo hata huyu askari alishangaa na kupigwa na butwaa.