Waziri wa Maji,Prof. Mark Mwandosya (kulia) pamoja na Mkuu wa Jumuia ya Ulaya Nchini Balozi,Tom Clarke (pili kushoto) wakimsikiliza kwa makini mwandisi mshauri wa maradi wa maji taka katika eneo la Butuja alipokuwa akitoa maelezo ya mradi huo jana jijini Mwanza.