Zaidi ya wafanyabiasha 15000 jana waliandamana na kufanya fujo nje ya ukumbi wa mikutano wa umoja wa nchi za ulaya jijini Brussels.Wafanyabiashara hao waliandamana na kufanya fujo hizo kwa kile wanchosema kupinga sera za umoja huo dhidi ya shida zinazoikabili dunia hivi sasa.maandamano hayo yalianza vizuri na kwa utulivu,ila hali ilibadiliaka mwishoni na kama ujioneavyo mambo yalivyokuwa pichani.Fujo hizo zimefanywa wakati umoja huo ukijiandaa kwa mikuatano ya leo na kesho.