Hapa ni Bruxelles nchini Belgium nimetua jana usiku kwa siku mbili kisha nitarudi kijijini kwangu kama kawaida,nipo katika maonyesho ya Mwafrika.Pichani ni (Mimi Blogger) dada zangu toka Africa,kushoto kwangu toka Angola na kulia kwangu toka Congo...yani ilikuwa ni full Flash nimependa mapokezi.