Waasi wa serikali ya Muammar Gaddafi wakifanya Ibada ya pamoja ulipofika muda wa Ibada,kwa kawaida waislamu wote duniani unapofikia muda wa ibada hata kama wanashughuli muhimu kiasi gani inabidi wasimamishe shughuli hizo kwa kipindi kifupi cha Ibada,na wakimaliza hapo kama wapiganaji wanaendeleza mapigano,kama wafanyabiashara wanaendeleza biashara zao.Pichani kama ujioneavyo watu wapo kwenye Ibada kuomba Mungu kwa yale wanayoyahitaji.