Viongozi wetu wenye kung'ang'ania madaraka kinguvu hata kama wananchi hawawataki,usababisha hali mbaya kwa kila mwananchi ndani ya nchi yake.hali kama hii unayoiona pichani hivi unaifurahia?watu kama hawa kwa jinsi wanavyonung'unika hivi huyo kiongozi atafika wapi jamani...??
Ebu ona jamani,maisha gani haya??Inasikiatisha na kukasilisha kiukweli,Viongozi wa Afrika inabidi mbadilike kilazima la sivyo mtalaanika na MUUMBA.