Mmoja wa wananchi akipiga kura yake nchini Uganda katika uchaguzi wao.Baadhi ya wabunge nchini humo wanalalamika kuwa uchaguzi ulikuwa na CHAKACHUA nyingi.