Utashangaa maji kwako hayatoki na bili unalipa kama kawaida kumbe kuna hawaa Vishoka wanaopata maji kwa njia ya panya.Bidada aliepanga ndoo zake sehemu za Kigogo jijini Dar es Salaam akijapatia maji kama ujioneavyo pichani.Ningekuwa ni mimi Idara husika nikimkamata mtu kama huyu.........