Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Yussuf Mwenda (katikati) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa African Stars,Asha Baraka wakati wa uzinduzi wa albamu mpya ya Dunia Daraja iliyoziduliwa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.
Safu ya ushambulizi wa Twanga Pepeta ikifanya mambo yao kuburudisha wapenzi.
Waimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiimba moja ya nyimbo zao zilizopo kwenye albamu hiyo mpya.