Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Waziri aisiyekuwa na Wizara Maalum Machano Othman Said, nyuma Ya Makamo ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu(Mwenye Kaunda Suti).

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini Marekani alikokwenda kwa ziara ya kikazi. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balo]i Seif Ali Idi akimsikili]a Mwandishi wa habari Farouk Karim katika mkutano uliofanyika ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi safari yake ya kikazi nchini Marekani.
(PICHA NA HAMADI HIJA -MAELEZO ZANZIBAR)