Mwingine anachekelea na huyu mwingine kushoto anaomba dunia isimame kwa jinsi anavyoogopa speed ya bembea,ni burudani,afya na uoga ndani yake.
 Ooooh iswe tabu jamani kaona bora ainame kabisaa,maana ni full kizunguzungu.
Raha sana ukitulia na kuwaangalia watoto jinsi wanavyofurahia sehemu kama hizi.
Kwa watoto aaah mambo mswano tu.Hapa unaweza kujipima hali ya mapigo yako ya moyo na jinsi moyo unavyofanya kazi.