Assalam Aleykum.
Waungwana na Waislam wote duniani naungana nanyi katika kusheherekea sikukuu ya Eid el Hajj.Napenda kuwapa mkono wa Eid kwa waislam wote na wasiokuwa waislam katika kujumuika wote kwa pamoja.Kwa kuwa leo ni sikukuu naomba nipumzike  kuwaletea habari kwa siku nzima ya leo.Nawakaribisha watu wote tujumuike sote katika kusheherekea sikukuu hii.Ahsanteni sana na kila mmoja sikukuu njema.