Suma Lee akijiandaa kupanda kwenye Stage kwenye ukumbe wa Sport de Cafe .
Kila ngoma ya Suma lee watu wote ukumbini walikuwa wakishindwa kujizuia kwa mzuka na kuanza kucheza.
Akiendeleza kukamua kwa sauti nyororo ambayo wengi waliikubali.
Ukumbini palijaa, na watu walijiburushisha vilivyo na Hakunaga la Suma lee.

Picha zaidi nitawaletea baadae kwani show bado  inaendelea.