Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Lidya Mbiaji (kulia) akinunua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika duka la vitabu vya Serikali mkoani hapa. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashaauri ya Wilaya ya Ulanga, Alfred Luanda. (Picha na John Nditi).