Mtoto wa Malkia wa Uingereza, Prince Charles, pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa, wakiangalia kazi za wanafunzi wa Shule ya Msingi Leganga alipotembelea wilayani Arumeru mkoani Arusha juzi.