Ukifika nchini Holland haitakuwa shida kusikia neno Sex mama,ni Mc anayekubalika pale unapokuwa na shughuli yako na ukitaka shughuli yako iende kwa watu kuburudika na kufurahia vionjo vyake basi mtafute Sex mama.ana sauti nzuri,maneno matamu na kuisukuma shughuli bila kuwachosha watu ukumbini,Pichani akiwa kulia na  rafiki zake wa karibu kabisa.
Sex mama kulia akiwa na mashosti zake kwenye moja ya shughuli alizokuwa akiziendesha vyema hivi karibuni,sex mama ni mmoja wa ma Mc wa kike wenye vipaji vya kuiburuza mic na kuwaacha watu vinywa wazi.anachonikosha mimi Sex mama anaongea zaidi ya lugha tano na Kichina ndani,kama unabisha pata kuhudhuria moja ya shughuli zake pale anapokabidhiwa Mic.