Lori la kubeba mafuta aina ya Benzi lenye namba za usajili T269 BRQ, likiwa juu ya magari madogo mawili katika Barabara ya Mandela, eneo la River Side Ubungo jijini Dar es Salaam jana.